BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Monday, October 31, 2011

QUARITO ZA SOUTH NGOMA YA HAKUNAGA

Thursday, October 27, 2011

KANUMBA AJA NA MORNING ARAM

AJALI HAINA KINGA

Mamilioni ya watoto huko Colombia, Iraq, Afghanistan, Uganda, Darfur Sudan, Sierra Leone na katika maeneo mengine mengi kunakojiri vita duniani wameuawa, kujeruhiwa, kupoteza wazazi na jamaa zao na kulazimika kuishi makambini. Ni wazi kuwa asilimia 95 ya wahanga wa migogoro ya kivita ni raia, huku zaidi ya asilimia 80 wakiwa ni watoto na wanawake. Kitendo cha watoto hao kutengana au kuwa mbali na famila zao au kuwa mayatima, kumewalazimisha baadhi yao kubeba jukumu la kuwalea wadogo zao au jamaa zao wakiwa na umri mdogo. Aidha watoto hao hukumbwa na matatizo mbalimbali kama vile kutopata chakula cha kutosha, maji safi na salama, elimu, huduma za afya na usalama.

SABABU ZA KUSABABISHA WANAFUNZI WENGI KUKATA SHULE


Hizi ni moja ya adhabu zinazopelekea watoto wengi kukataa kwenda shule

Wednesday, October 26, 2011

MUDA MFUPI KABLA YA KIFO CHA ALIEKUA SIMBA WA AFRICA "COLONIEL MUAMAR GADDAF"...INALIRAHA WA INALIRAHI LAYUN11!!


MUDA MFUPI KABLA YA KIFO CHA ALIEKUA SIMBA WA AFRICA "COLONIEL MUAMAR GADDAF"...INALIRAHA WA INALIRAHI LAYUN11!!

HATIMAE MPIGANIA HAKI WA AFRICA AUAWA NA MMOJA KATI YA WALINZI WAKE WATIIFU

KIFO CHA GADDAFI

Grimacing in pain: A still from a video taken from the mobile phone of a rebel fighter shows Gaddafi, his face covered in blood, being dragged around by freedom fighters

Tuesday, October 25, 2011

Javier “Chicharito” Hernandez, Manchester United’s Mexican sensation, suffered a concussion during a training session Tuesday and was hospitalized overnight, the English Premier League club announced.

Hernandez had just returned to the team from vacation and probably wasn’t going to play in Wednesday night’s match against the MLS all-stars at Red Bull Arena in Harrison, N.J. But the injury will end his hopes of appearing in this game and diminished the chances of him playing in Saturday’s friendly against FC Barcelona at FedEx Field in Landover, Md.

“We have taken all the necessary precautions, which included an overnight stay in hospital,” the club said in a written statement. “The manager will give further updates in due course.”

KIFO CHA BINTI CHASIKITISHA WENGI!!!!!!


Mwanamke mmoja mkazi wa Dodoma mjini kijiji cha veyula nje kidogo ya mji wa Dodoma amefariki dunia baada ya kuugua kwa mda mrefu kutokana na maradhi yasemekanayo ni kuharibika kwa kizazi.hii inatokana na mimba nyingi alizo wahi kutoa..