BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Tuesday, October 25, 2011

KIFO CHA BINTI CHASIKITISHA WENGI!!!!!!


Mwanamke mmoja mkazi wa Dodoma mjini kijiji cha veyula nje kidogo ya mji wa Dodoma amefariki dunia baada ya kuugua kwa mda mrefu kutokana na maradhi yasemekanayo ni kuharibika kwa kizazi.hii inatokana na mimba nyingi alizo wahi kutoa..

0 comments: