BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Friday, November 11, 2011

HUKU NDO KWETU DOM VEYULA







Pichani ni mandhari ya kuvutia ndani ya chuo cha ufundi cha Mtakatifu Gabrieli kinachomilikiwa na kanisa Katoliki. Chuo hicho kipo kijijini Veyula nje kidogo ya mji wa Dodoma katika njia iendayo Makutopora. Humo chuoni hufundishwa ufundi wa useremala, uashi, ushonaji na kompyuta.

Pia kuna showroom kubwa ya samani ya kiwango cha juu sana zinazozalishwa chuoni hapo.

Iliniwia vigumu kuamini zile samani za kiwango cha juu sana zinazalishwa chuoni hapo.

0 comments: