BLOGGER TEMPLATES - TWITTER BACKGROUNDS »

Monday, November 14, 2011

TAMASHA LA STR8 MUSIC INTER COLLEGE SPECIAL 2011 LAFUNIKA MJINI DODOMA!

DJ Mario akisugua mashine katika tamasha la STR8 Music Inter College Special liililoanza kutimua Vumbi Usiku wa kuamkia leo katika Viwanja vya Royal Village mjini Dodoma

Umati Mkubwa Wa Watu Ukiwa Umefurika Katika Show ya STR8 Inter Colleg Special 2011 iliyofanyika Katika Viwanja Vya Royal Village Mjini Dodoma Usiku Wa Kuamkia Leo
Msanii Kutoka Nchini Kenya Nameless akifanya Show iliyowavutia Wadau wengi kwenye Tamasha hilo la STR8 MUZIK inter college special katika Viwanja vya Royal Village.
       Walimbwende wakiserebuka ngoma za Juma Nature aka Kibra wakati alipopanda jukwaani.

0 comments: