a kizazi kipya, Naseeb Abdul ‘Diamond’ Jumatano iliyopita ‘walikwea pipa’ kwenda Afrika Kusini ‘Sauz’ kwa ajili ya mapumziko, Risasi Jumamosi limedakishwa.
Akiteta na paparazi wetu siku ya Jumanne jijini Dar, Wema alisema yeye na mchumba wake huyo walikaa na kujadili jinsi ya kuondoa ‘stresi’ zao kufuatia matukio mbalimbali yaliyowakumba, kikiwemo kile kipondo cha Diamond kwa Wema, ndipo wakaamua kwenda kupumzika bondeni kwa Mzee Madiba.
“Unajua kuna matatizo mengi yametokea kati yangu ya Diamo
nd hivyo tuliposema tunahitaji kwenda kutulia mahali na…
Friday, November 18, 2011
Posted by SIRKIWELE at 11:16 PM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment